Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

Uza kiwanja na sahau habari za msingi. Kwa maana hiyo, kuna 12M taslimu hapa.
 
Usikute muuzaji Ni Motivational SPEAKER[emoji1]
 
Goba hii hii nnayoijua miee au Kuna Goba ya Masaki? Madalali acheni tamaa na kukwamisha wenye mali zao, wao wanataka bei za kawaida ila nyie kwa Tamaa zenu mnajitoa ufaham, i hate dalalis, majizi tu msiotaka kuvuja majasho
 
Kiwanja 1,000Sqm x 15,000 = 15mil
Kukipima = 2mil - mil
Building Permit 0.3mil - 0.5mil
Ramani = 0.3mil -
Msingi (materials) = 11mil
Msingi (Fundi) = 3mil
Time Value for Money (Appreciation of a Land/Assets) = 5mil

Total Approx 35mil - 37mil,

NB,
Figures above are just estimates, based on my knowledge on Land, Building Materials and Building Experiences, so may increase or decrease depends on area, time, bargain power, etc
 
Hakuna material ya kujengea msingi kwa million 11 hapo
 
Hakuna material ya kujengea msingi kwa million 11 hapo
Nimezingatia Msingi kwa Nyuma ni mrefu kama kozi nane hivi juu, bado zilizoko chini. Pili kuna nondo katikati, kama vile alidhamiria kujenga Ghorofa. Na tatu inaonekana ni nyumba pana (wide).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…