Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Bei ya mwisho ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseukiuza kwa milion 55 au ata kwa milion 40, nakunya hapa nyamongoro mpaka kisesa
Achukue msingi wake, akuachie kiwanja[emoji16]Uza kiwanja na sahau habari za msingi. Kwa maana hiyo, kuna 12M taslimu hapa.
Kiwanja 1,000Sqm x 15,000 = 15milKiwanja kinauzwa, kipo Goba - Kisauke.
Kina hati pamoja na kibalia cha ujenzi, na kina jumla ya square metre 1,032. Kwenye picha ni eneo husika na picha ya mwisho ni aina ya nyumba iliyokuwa ikijengwa hapo. Kinauzwa kwasababu ninahama kutoka Dar kwenda Dodoma, HAKUNA DALALI. Bei ni milioni 55
Kiwanja kipo eneo zuri sana, kipo mita 900 kutoka barabara ya lami inayoelekea Madale. Ukihitaji kupaona piga simu: 0625 504 952View attachment 1597584View attachment 1597584View attachment 1597587View attachment 1597589View attachment 1597588
Hakuna material ya kujengea msingi kwa million 11 hapoKiwanja 1,000Sqm x 15,000 = 15mil
Kukipima = 2mil - mil
Building Permit 0.3mil - 0.5mil
Ramani = 0.3mil -
Msingi (materials) = 11mil
Msingi (Fundi) = 3mil
Time Value for Money (Appreciation of a Land/Assets) = 5mil
Total Approx 35mil - 37mil,
NB,
Figures above are just estimates, based on my knowledge on Land, Building Materials and Building Experiences, so may increase or decrease depends on area, time, bargain power, etc
Nimezingatia Msingi kwa Nyuma ni mrefu kama kozi nane hivi juu, bado zilizoko chini. Pili kuna nondo katikati, kama vile alidhamiria kujenga Ghorofa. Na tatu inaonekana ni nyumba pana (wide).Hakuna material ya kujengea msingi kwa million 11 hapo