Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa

Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa

mninga dume

Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
49
Reaction score
29
Kipo Tegeta-Madale Dar es salaam. Karibu na Flamingo. Kina ukubwa wa mita 20×25. Msingi wa vyumba 3. Vyoo vya ndani 2, sitting & dining rooms. Mawasiliano:- 0788886038.
 
Kipo Tegeta-Madale Dar es salaam. Karibu na Flamingo. Kina ukubwa wa mita 20×25. Msingi wa vyumba 3. Vyoo vya ndani 2, sitting & dining rooms. Mawasiliano:- 0788886038.

Japo kapicha tu
 
Mkuu hiyo sehemu iko salama..? Yaani una hati au haina migogoro..? Naomba ni PM tufanye biashara!!
 
Bado hapajauzwa. Pako salama. Hakuna mgogoro wowote. Napamiliki kwa miaka 7 mpaka sasa.
 
Hati ya mauziano ya shamba/kiwanja.
 
Attachments

  • 1476422111024.jpg
    1476422111024.jpg
    55.8 KB · Views: 52
Bado kipo. Nimesafiri kidogo. Nimemwachia mdogo wangu asimamie kila kitu na ana kila kitu. Namba zake za simu ni 0763295000 na 0712295000.
 
leta kingine..
biashara nzuri unafanya
 
Back
Top Bottom