Plot4Sale Kiwanja chenye msingi KITUNDA relini

Plot4Sale Kiwanja chenye msingi KITUNDA relini

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam
Kiwanja kinapatikana kitunda kituo cha Florida.
MAELEZO
kiwanja kina ukubwa wa meter 27 kwa 24 (sqm 648)
Kiwanja kina msingi tayari.
Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara kuu ya lami.
Urasimishaji bado unaendelea kwa kupandikiza bicons.
Offer : 12m (neg)
Contact: 0756 832833

IMG_20181121_145851.jpeg
IMG_20181121_145714.jpeg
IMG_20181121_153238.jpeg
IMG_20181121_153207.jpeg
IMG_20181121_145903.jpeg
IMG_20181121_145905.jpeg
IMG_20181121_144720.jpeg
IMG_20181121_144731.jpeg
 
Mbona kama ako bondeni, flood hawezi kuja hapo?
 
Salaam
Kiwanja kinapatikana kitunda kituo cha Florida.
MAELEZO
kiwanja kina ukubwa wa meter 27 kwa 24 (sqm 648)
Kiwanja kina msingi tayari.
Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara kuu ya lami.
Urasimishaji bado unaendelea kwa kupandikiza bicons.
Offer : 12m (neg)
Contact: 0756 832833

View attachment 941768View attachment 941769View attachment 941770View attachment 941771View attachment 941772View attachment 941773View attachment 941774View attachment 941775
Yani kiwanja 12ml, tena hakuna hati, usawa huu wa jiwe, aisee hata kama hela imeshuka thaman, kisa tu kuna msingi, ambayo ramani haijulikani
 
Yani kiwanja 12ml, tena hakuna hati, usawa huu wa jiwe, aisee hata kama hela imeshuka thaman, kisa tu kuna msingi, ambayo ramani haijulikani
Kiwanja chenye hati huwezi kupata kwa 12m mkuu.
Vipato vimetofautina kuna wengine wananunua viwanja mpaka vya 200m
Wew unashangaa cha 12m.
 
Back
Top Bottom