katuni
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 151
- 77
Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 16. Kilikuwa tayari kimeshaanza kujengwa nyumba. Yaani kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula ( Dianing room ), sehemu ya kukaa kwa kupumzika ( seating room) choo cha ndani na nje baraza. Hivyo ndivyo ramani ya msingi inavyoonyesha.
Bei ni Milion 6.
Tuwasiliane hapa 0715553166
Bei ni Milion 6.
Tuwasiliane hapa 0715553166