Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

ibengwe11

Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
27
Reaction score
3
Kiko Goba mwisho Dar-es-salaam,ukubwa wake ni Sq meter 1800 + msingi wa ngumba kubwa, gari inafika na umeme upo jirani sana. Bei inaanzia 25mil maongezi yapo na kwa aliye serious ani pm tunaweza kukubaliana akalipa kwa awamu 2 kwa makubaliano maalum. Kwa taarifa zaidi nitext kwa namba hii 0716904091.ahsanteni sana
 
Kiwanja kipo Zanzibar, Songea au Tarime? Kamilisha taarifa yako. Goba ipo mkoa gani?
 
Wewe ibegwe acha kuuza viwanja vya watu huwezi kupata Kiwanja Goba chenye ukubwa huo na Msingi kwa bei hiyo,achana na hiyo makitu kabisa utafungwa wewe!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Goba Hamna maji wala usafiri wa uhakika.
 
Goba Hamna maji wala usafiri wa uhakika.

Wapo binadamu wanaishi na pengine wanaishi maisha mazuri kushinda hata ww, na wanaendesha shughuri zao kama kawaida. Tatizo la kukariri mambo ni cancer mbaya sana
 
Hebu fafanua ni Goba ipi hiyo mkuu na huo msingi ulipangwa uwe nyumba ya namna gani...

Zingatia idadi ya vyumba, sebule, maliwato na choo n.k
 
Back
Top Bottom