Kiko Goba mwisho Dar-es-salaam,ukubwa wake ni Sq meter 1800 + msingi wa ngumba kubwa, gari inafika na umeme upo jirani sana. Bei inaanzia 25mil maongezi yapo na kwa aliye serious ani pm tunaweza kukubaliana akalipa kwa awamu 2 kwa makubaliano maalum. Kwa taarifa zaidi nitext kwa namba hii 0716904091.ahsanteni sana
Wewe ibegwe acha kuuza viwanja vya watu huwezi kupata Kiwanja Goba chenye ukubwa huo na Msingi kwa bei hiyo,achana na hiyo makitu kabisa utafungwa wewe!
Wapo binadamu wanaishi na pengine wanaishi maisha mazuri kushinda hata ww, na wanaendesha shughuri zao kama kawaida. Tatizo la kukariri mambo ni cancer mbaya sana