Kiwanja chenye ukubwa wa 35 kwa 35 ( nusu heka ) kinauzwa.

Kiwanja chenye ukubwa wa 35 kwa 35 ( nusu heka ) kinauzwa.

katuni

Senior Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
151
Reaction score
77
viwanja vipo viwili. Kimoja kina upana wa 35 na urefu pia ni 35. Bei milion 7. Kingine kina urefu wa 20 na upana wa 10 ( panatosha kujenga vyumba vitatu na choo ) kinauzwa milion 2. Viwanja vilipo ni Kivule ( Gongo la mboto ). kwa mwenye uhitaji anicheki hapa 0715553166. Kumbuka huku hautagharamia mchanga kwa ajili ujenzi. Maana ardhi ya huku Changachanga. Hivyo mchanga wa kujengea nyumba yako hautaununua. Yaani hautakuwa na haja ya kuagiza lori la mchanga. Huku watu wanafanya hivi, mchanga unaupata kwenye shimo la choo au karo na unafaturia tofari kwa ajili ya nyumba yako yote. 0715553166
 
Hiyo ni about robo heka mkuu na sio nusu heka.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona watu hamjui vipimo? 35 kwa 35 ni robo eka, 35 kwa 70 ni nusu eka na 70 kwa 70 ndiyo eka 1...kwa hiyo hiyo ni robo heka
 
Back
Top Bottom