Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

Keo Chama

Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
23
Reaction score
46
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.

Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.

Bei Milioni 15.

IMG_20230202_141927.jpg
IMG_20230202_142016.jpg
IMG_20230202_141938.jpg
 
Kamwe sitakuja nunu kiwanja kwa FT au Miguu.
Kipimo ni M
 
Mita 50 kipengele kutoka kwa Mathias kama huna gari boda pale sijui bei gani. Maeneo yangu hayo. Mkuu Msangani Village sipati kiwanja? Kuna boda mmoja maarufu kule anaitwa Dotto naomba nitafutie namba yake nimepotezana nae mkuu.
 
Nauza kiwanja, kipo Kibaha kwa Mathias
MITA 18*23
MILION 8.5
KINA HATI.

Mawasiliano: 0613008960, 0711608960, 0694979158.

Umeme na maji huduma zote zinapatikana gari inafika hadi ndani. Mtaa unaitwa mita 50.
IMG_20230202_141938.jpg
 
NAUZA KIWANJA KIBAHA KWA MATHIAS
MITA 18*23
MILION 8.5
KINA HATI.
0613008960,0711608960,0694979158.
Umeme na maji huduma zote zinapatikana gari inafika hadi ndani.
Mtaa unaitwa mita 50
Mbona 50m ni pesa ndefu hupunguzi?
 
Hati miliki kutoka wizarani au serikali ya mtaa?
 
Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias17*17...Hakuna gharama za kukiona ni bure

Gari hadi ndani..

0613008960

KM 3 tu kutoka Morogoro road hati ipo

Maji na umeme vipo shule ipo pamejengeka hamna mapori na pamechangamka

Kipo pembezoni mwa barabara ya mtaa

Wahi mapema mwenyewe ana shida ya pesa....

Na kuna upande umezidi hizo mita 17 zitakuwa zako pia

Bei milion 4 na laki 8

Unaweza jenga vyumba 3 na subule na nafasi ikabak kubwa tu

Nasisitiza kuja kukiona ni bure ukiridhika nacho utalipia.

0613008960,0711608960

IMG_20230213_084212.jpg
IMG_20230202_141938.jpg
IMG_20230201_163217.jpg
 
Back
Top Bottom