Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.
Bei Milioni 15.
ENEO: Ukubwa wa 6,196 sqm (mita za mraba).
Ambalo limeendelezwa kwa kujengwa ukuta na majengo ya matumizi mbalimbali ambayo yapo katika hatua za kumalizika. umeme umekwisha fikishwa wa “three phase”.
Eneo lipo karibu na shule ya primary na secondary ya St. Flora/Mikongeni, lipo kwenye barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.