Plot4Sale Nauza eneo langu lilipo Kibaha kwa Mathias -Mikongeni

Plot4Sale Nauza eneo langu lilipo Kibaha kwa Mathias -Mikongeni

Umenikumbusha matangazo na mabango ya Boss Kwezi.

Jamaa kachafua jiji zima na mabango yake ya viwanja viwanja viwanjaa!!

Watanzania wanapenda viwanja sana, Hasa wanawake.
Nimewahi sikia kasambaza matangazo kila mahali
 
Habari wakuu, nauza eneo langu lilipo Kibaha kwa Mathias -Mikongeni .
* Ukubwa ni 25x35
* Hati ya Umiliki- kina hati ya mauziano toka Serikali ya mtaa( hakina mgogoro )
* Bei ni Tsh 7 M ( maongezi yapo)
* Mawasiliano 📞 0621250025 . KARIBU
.
Mkuu,

Unaweza weka picha mbalimbali za hilo eneo (tuone LandScaping yake), Lipo umbali gani kutoka mororgoro road?
 
Umenikumbusha matangazo na mabango ya Boss Kwezi.

Jamaa kachafua jiji zima na mabango yake ya viwanja viwanja viwanjaa!!

Watanzania wanapenda viwanja sana, Hasa wanawake.
Yaani unakuwa na Mwanamke na huna kiwanja anakuona huna maana
 
Unaweza kuta ni mradi wa the big bosses
20250910_142157.jpg
 
Mtu chake kiongozi piga kazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom