Picha umepiga na pixel ngapi?Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.
Bei Milioni 15.
View attachment 2503656View attachment 2503657View attachment 2503658
RedmiPicha umepiga na pixel ngapi?
Niuzie bukta yako nimeipenda.Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.
Bei Milioni 15.
View attachment 2503656View attachment 2503657View attachment 2503658
Mbona 50m ni pesa ndefu hupunguzi?NAUZA KIWANJA KIBAHA KWA MATHIAS
MITA 18*23
MILION 8.5
KINA HATI.
0613008960,0711608960,0694979158.
Umeme na maji huduma zote zinapatikana gari inafika hadi ndani.
Mtaa unaitwa mita 50
Hapana sio 50m ni miliona 8 na lak 5Mbona 50m ni pesa ndefu hupunguzi?
Mtaa ndo unaita mita 50 nikaandika m50Mbona 50m ni pesa ndefu hupunguzi?
Serkal ya mtaaHati miliki kutoka wizarani au serikali ya mtaa?