Plot4Sale KIWANJA ENEO LA SHERATONI NJIA YA CHANIKA

Plot4Sale KIWANJA ENEO LA SHERATONI NJIA YA CHANIKA

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,800,000/=
ikiwa utapenda kukiona tuwasiliane 0713683422
 
yaan m 12 kiwanja chanika na akijapimwa?are you serious broo?
 
Wewe ni dalali???

Yes I am very serious hiki kiwanja sio kwa ajili ya kila mtu
kiko mahali pazuri sana siwezi kuuza bei ndogo
 
Ghali sana!
ni kweli mkuu kiwanja hiki ni ghali sana
maana unaweza kujenga nyumba kubwa
kuwa na eneo la kuchezea watoto
kuweka bustani nzuri
pamoja na banda la mifugo
kuchimba maji hata kisima cha mkono
pia panafikika kwa urahisi na barabara ni ya nyakati zote
ni eneo tulivu sana pasipo na makelele
sio mbali na usafiri wa umma maana ni dakika kumi na tano kufika kituo cha daladala
Eneo hilo ukichimba maji yapo
barabara zimepimwa na zinapitika nyakati zote

Back
Top Bottom