Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hizo 15x15 ni foots, cm, au mitaHabari za jioni ndugu zangu naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
Haitoshi....Habari za jioni ndugu zangu naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
mita?Habari za jioni ndugu zangu naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
Miguu yaani hatua kubwa za 15x15Hizo 15x15 ni foots, cm, au mita
DuuhHaitoshi....
Naiomba mkuuNdio kinatosha......
Nikupe ramani?
Kimepimwa??Habari za jioni ndugu zangu naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
Kipime kwanza mkuu, hatua zangu na zako sio sawa. ni vyema ungekipima unaweza msaada sahihiMiguu yaani hatua kubwa za 15x15
Hatua za binadamu kubwa 15x15mita?
Duuh SawaHalitosis kiongozi.
Duuh kweliSiyo nyumba tu Na parking ya IST inatosha
Kweli mkuuInatosha na inabaki sehemu ya parking ndogo