Kiwanja kikali cha bata Tabora

Kiwanja kikali cha bata Tabora

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Habari wadau,

Leo niko tabora mboka manyema kikazi


Naombeni mnijulishe kiwanja chenye watoto wakali kinachojaza hapa Tabora.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ulizia kiwanja Cha kuitwa The Matrix Lounge na kwa pembeni yake kipo kimoja kinaitwa Bliss Lounge na Club inferno, oxygen Ni zilipendwa..
 
Back
Top Bottom