Kiwanja kikali cha gharama ndogo Dar ni kipi? Mgeni nipo huku

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wenyeji nipeni location ya kiwanja cha gharama nafuu Kwa hizi siku tano nitakazokuwa hapa jijini

FB_IMG_1696268927574.jpg
 
Totoz na bia mkuu
Unapendelea nn, beer, sports, totoz, bahari, mazingira, ghorofani, indoor/outdoor, vurugu, ukimya, classy, changanyikeni, au.. na mwisho unakaa wp tusije kupa kiwanja Goba wakati upo Kigamboni
 
Nipo mwenge
 
Back
Top Bottom