Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Wakuuuu poleni na majukum.

Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam .

Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki masaki, tabata KB, The great, kwetu pazuri , na vingine vingi.


Wakuuu naowaomba sana mnielekeleze kiwanja kinachojaza watoto Classic kwa sasa hapa jijini dar es salaam.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…