Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Ungeweka picha...huwa inapendezaKiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox tuyajenge moja kwa moja upate kiwanja kwa bei nafuu. Karibu sana
Sawa mkuu naweka picha muda si mrefuUngeweka picha...huwa inapendeza
Picha tayari mkuuMkuu weka picha
Kipo umbali gani kutoka barabara ya lami ya Goba?Kiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox tuyajenge moja kwa moja upate kiwanja kwa bei nafuu. Karibu sanaView attachment 2118121
Umbali ni kilomita mbili tu kutoka kwenye lami na barabara ni nzuri maana inachongwa na kuwekewa kifusi na manispaa kila mwakaKipo umbali gani kutoka barabara ya lami ya Goba?
Picha tayari mkuuUngeweka picha...huwa inapendeza
Ni Mtaa wa Muungano mkuu..zamani iliitwa KulangwaSehemu gani ya Goba mkuu? Kinzudi, kwa kulangwa au wapi? Thanx
Hahahaha...hiyo I'd mbona iko toka zamani tu mkuu hata kabla sijafikiria kuuza kiwanja?Sawa mkuu tunajipanga tukufuate pm
Japo Id name yako mkuu imekaa kunipa wasiwasi sana
Karibu sana mkuu tuyajenge ujipatie kiwanja kizuri kwa bei sawa na bureSawa mkuu tunajipanga tukufuate pm
Japo Id name yako mkuu imekaa kunipa wasiwasi sana
Mkuu hiyo sehemu iliyofekwa ndio kiwanja chenyewe? Nakuja inbox tuzungumzeKiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox tuyajenge moja kwa moja upate kiwanja kwa bei nafuu. Karibu sanaView attachment 2118121
Karibu kiongozi.Mkuu hiyo sehemu iliyofekwa ndio kiwanja chenyewe? Nakuja inbox tuzungumze
Nitumie namba zako inboxWakuu sana karibuni bado eneo linawasubiri mlipate kwa bei cheeee kabisa. Njoo inbox tuyajenge. Hapo palipofyekwa ndio eneo lenyewe hasa ambalo liko sokoniView attachment 2126974