Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

Kiwanja kikubwa cha mita za mraba 940 na kimepimwa kiko Goba wilaya ya Ubungo umbali wa kilomita 2 kutoka Goba senta. Kiwanja ni mali yangu mwenyewe hivyo hapa hakuna udalali, nifate inbox tuyajenge moja kwa moja upate kiwanja kwa bei nafuu. Karibu sanaView attachment 2118121
Mkuu hii biashara bado ipo? Kama Bado ipo naomba namba zako tuwasiliane tafadhali
 
Taarifa Rasmi ya kiwanja kuuzwa.
Wakuu nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Kiwanja nimefanikiwa kuuza kwa bei nzuri tu baada ya mimi na mteja kukubaliana. Ila kama utapenda uwe na kiwanja maeneo ya Goba tuwasiliane maana bado kuna majirani wanauza viwanja vyao. Mbarikiwe sana. Thanks Jf
 
Back
Top Bottom