Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

Mkuu hii biashara bado ipo? Kama Bado ipo naomba namba zako tuwasiliane tafadhali
 
Taarifa Rasmi ya kiwanja kuuzwa.
Wakuu nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Kiwanja nimefanikiwa kuuza kwa bei nzuri tu baada ya mimi na mteja kukubaliana. Ila kama utapenda uwe na kiwanja maeneo ya Goba tuwasiliane maana bado kuna majirani wanauza viwanja vyao. Mbarikiwe sana. Thanks Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…