mkalenda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 290
- 23
Nyumba yenye kiwanja chenye upana wa meter 26 na urefu meter 63 na nusu kinauzwa. Nyumba ina vyumba vya kulala 4, chumba kimoja ni self contain, choo mbili za ndani, sebure kubwa yenye daining, jiko kubwa mmoja.
Umeme ni kuvuta na maji yanapatikana. Mmiliki mmoja na hati ipo.
Inapatikana mtwara mjini, kwa upande wa juu inapakana na hospitar ya mkoa ligura, upande wa kulia inapakana na chuo cha waganga matisi, (mtwara mjini)
bei ni milion 45 tsh, maelewano yapo!!!!!!
Kwa mawasiliano zaidi, piga no.
0769038065,