Kiwanja kikubwa chenye vyumba vinne kinauzwa bei nzur saana

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Nyumba yenye kiwanja chenye upana wa meter 26 na urefu meter 63 na nusu kinauzwa. Nyumba ina vyumba vya kulala 4, chumba kimoja ni self contain, choo mbili za ndani, sebure kubwa yenye daining, jiko kubwa mmoja.
Umeme ni kuvuta na maji yanapatikana. Mmiliki mmoja na hati ipo.
Inapatikana mtwara mjini, kwa upande wa juu inapakana na hospitar ya mkoa ligura, upande wa kulia inapakana na chuo cha waganga matisi, (mtwara mjini)
bei ni milion 45 tsh, maelewano yapo!!!!!!
Kwa mawasiliano zaidi, piga no.
0769038065,
 

Attachments

  • 2014-04-15 15.48.19.jpg
    49.7 KB · Views: 150
  • 2014-04-15 15.48.23.jpg
    47.7 KB · Views: 141
  • 2014-04-15 15.48.33.jpg
    45.5 KB · Views: 131
Mil45? Nyumba hii halafu Ntwara? Mh huyu muuzaji km sio nchagga nkinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…