Plot4Sale Kiwanja kikubwa hatua 50 kwa 22 kinauzwa Mbezi Mwisho, 2km kutoka Morogoro Road

Kiwanja kimeshuka bei
Kimeshukaje ghafla na kwa sasa bei gani?
Piga hesabu hivi kama kivanja chako ni 50M x 22 M ina maana kina square meter 1100 kisha chukua bei 30,000,000 gawanya kwa hizo square meters utapata bei ya m2 moja ambayo ni 27,272.73. Kisha nenda kuuliza hiyo bei kwa kipande cha shamba ni sahihi na pia angalia bei ya square meter moja maeneo kama Masaki, Kariakoo, Upanga na jiarani na hapo ndipo utagundua kama hiyo bei umechamka au ni sahihi

Usiamke tu na kuangalia sijui kuna stendi ya mkoa au nini namba uwa hazidanganyi
 
Siku zakaribun ntafungua tuition center kwa madalali manake niwazi wanahitaj darasa
 
Kimeshukaje ghafla na kwa sasa bei gani?
Piga hesabu hivi kama kivanja chako ni 50M x 22 M ina maana kina square meter 1100 kisha chukua bei 30,000,000 gawanya kwa hizo square meters utapata bei ya m2 moja ambayo ni 27,272.73. Kisha nenda kuuliza hiyo bei kwa kipande cha shamba ni sahihi na pia angalia bei ya square meter moja maeneo kama Masaki, Kariakoo, Upanga na jiarani na hapo ndipo utagundua kama hiyo bei umechamka au ni sahihi

Usiamke tu na kuangalia sijui kuna stendi ya mkoa au nini namba uwa hazidanganyi
Ndo bei yake iyo kwa m2 na huko ndani ndani mbali na barabara square meter ni shs.20000, na osterbay niliuza billion moja square meter 4000
 
Back
Top Bottom