Kiwanja kinahitajika; tegeta/boko/bunju/goba/mbezi juu/makongo/salasala.

Kiwanja kinahitajika; tegeta/boko/bunju/goba/mbezi juu/makongo/salasala.

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
91
Reaction score
34
KIWANJA KINAHITAJIKA; TEGETA/BOKO/BUNJU/GOBA/MBEZI JUU/MAKONGO/SALASALA.
KIPAUMBELE KWA VILIVYOPIMWA HASA VYA WIZARA/MANISPAA

BUDGET 20 MIL (INAWEZA KU-ADJASTIWA KULINGANA NA SATISFACTION)

Karibuni.
 
BUNJU B kuna viwanja vyenye maeneo kama ifuatavyo in sq m: 607,798,577,601,598,577,604,598,553,605,700,
Chagua kimojawapo nikupe bei.
 
Kuna robo heka tegeta, wasiliana na mwenye nacho kwa namba hii 0786977330 au 0658977330
 
Sehem ulizozitaj zote mataw ya juu inabid ujipange kak

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
45M kwa 30M...GOBA.
Vimepimwa...goes for 25M.
0715547184..for inquiries.
 
Mimi nauza kiwanja gongo la mboto, sehemu inaitwa Ulongoni. Mil 8. so nitakukatia square meter 500 kwa 8 Mil, maelewano yapo kwa mtu aliye serious. Ukitaka ukubwa zaidi naweza kukuongezea au kwa maelewano.
kiwanja kipo gongo la mboto, sehemu inaitwa Ulongoni, ukishuka gongola mboto, unapanda babaji mpaka Ulongoni. Kiwanja ni kizuri, Kina miti ya minazi.
piga 0758 717754
 
nina eneo goba kuna nyumba ya kukarabati ina umeme na kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara 20*25 hakina hati ila doc zote muhimu zipo 23m neg. goba kunguru st.joseph ni pm dalali hatakiwi
 
Karibu kwa mwenye uhitaji Wa kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Ukubwa mita 20x40, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa kasi.Hakijapimwa ila mchakato umeshanza tunapima wakazi Wa eneo kwa pamoja natumesha changa hela kwa hatua ya awali. BEI milioni 11.5
 
no ya simu?
 
nina 25m nataka kiwanja segerea, kinyelezi au kifulu.
 
Nauza kiwanja maeneo ya kifuru ni changu mwenyewe kwa mawasiliano nipigie namba 0712151818 hakina hati
 
Back
Top Bottom