Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
400Ukubwa ni sqr meters 20 kwa 20 au feet 20 kwa 20?
Sqm400Ukubwa ni sqr meters 20 kwa 20 au feet 20 kwa 20?
Nikajua kiwanja kipo mbinguni π π π ,Kiwanja kipo jirani na Redio mbingu duniani kinauzwa Milioni 110 top
Hawa walokole hawaja weka maspika nje ?Redio mbingu duniani
πππHivi 110m unaijua kweli mkuu?