kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam
Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi
Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami
KINAUZWA TSH 400 MILION mazungumzo yapo kwa atakaye hitaji . KARIBUNI sana