Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bukoba

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bukoba

Peterkk

Member
Joined
May 8, 2020
Posts
37
Reaction score
43
Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera.
~Size 20x40m
~Price milion 5
~Negotiation is there.
~whatsap 0767579770

1174289163.jpg
20220217_113219.jpg
20220217_112919.jpg
 
Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..?

#MaendeleoHayanaChama
 
sasa kama ni wa kuja (munyamahanga) ana anataka kurudi mumahanga kwao (overlake) anafanyaje?
Wahay kama wachaga hawauzagi ardhi..mpaka vikao vya ukoo vikubali...mji mzima umezungukwa na migomba...hata nyumba hazionekani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama wakuja utauziwa ardhi mbovu sana..mabondeni au kwenye mawe.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona kuna eneo zuri sana kata za buhembe nshambya na ihungo kuna wasukuma wajaluo wakurya kibao tu....

Hayo unayosema sio kweli...labda huko vijijini ila bukoba mjini ardhi unapata vzr tu tena kwa bei ndogo
 
Back
Top Bottom