Kiwanja kinauzwa Bunju B- Kimepimwa na kina hati

Kiwanja kinauzwa Bunju B- Kimepimwa na kina hati

mbugot

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
42
Reaction score
37
N/A
 

Attachments

  • Bunju 1.jpg
    Bunju 1.jpg
    380.1 KB · Views: 185
  • Bunju 2.jpg
    Bunju 2.jpg
    346.3 KB · Views: 185
  • Bunju 3.jpg
    Bunju 3.jpg
    330.6 KB · Views: 179
Nauza kiwanja changu kilichopimwa na chenye hati. Kipo Bunju B (Kwenye mradi wa viwanja vya serikali vilivyopimwa- Block # 14). Kina ukubwa wa mita za mraba 953. Kipo kilometa 1 kutoka Bagamoyo road. Kipo barabarani (barabara ya kuelekea Mabwepande) kwenye kona. Umeme unapita. Eneo ni zuri sana, ni tambarare na panajengeka kwa kasi. Bei ni milioni 48 (maelewano yapo).
Contact yangu: 0687609333 au 0756609333

Yapo maelewano kweli, ila bado bei iko moto sana sana, ina maana kwa square meter moja unauza kwa shs. 50,367/=!
Tukumbuke Goba au baada ya Tanki Bovu viwanja bado vinauzwa sq. meter 1 = 10,000/= mpaka 15,000/=...
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni [email protected]

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
Back
Top Bottom