Kiwanja kinauzwa Bunju B- Kimepimwa na kina hati

mbugot

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
42
Reaction score
37
N/A
 

Attachments

  • Bunju 1.jpg
    380.1 KB · Views: 185
  • Bunju 2.jpg
    346.3 KB · Views: 185
  • Bunju 3.jpg
    330.6 KB · Views: 179

Yapo maelewano kweli, ila bado bei iko moto sana sana, ina maana kwa square meter moja unauza kwa shs. 50,367/=!
Tukumbuke Goba au baada ya Tanki Bovu viwanja bado vinauzwa sq. meter 1 = 10,000/= mpaka 15,000/=...
 
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…