kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Kiwanja kinauzwa chamazi, kipo kwenye mtaa uliojipanga vyema, kila kiwanja au nyumba inatizama barabara, umeme na maji vipo, kutoka barabara kuu mpaka ukifikie ni dk 5 tu. Ukubwa ni ft 50 kwa 50. Sawa na mt 15.24 kwa mt 15.24, bei ni 5.5M.
Vipo viwili ukichukua vyote utapata punguzo.
Ukitaka kuviona piga 0785678831
Vipo viwili ukichukua vyote utapata punguzo.
Ukitaka kuviona piga 0785678831