kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Mita 15 ni kiwanja hicho???!
Mita 15 ni kiwanja hicho???!
Sijui chako kikubwaje, mimi nimejenga kwenye kiwanja hicho cha ukubwa huo room 3 za ft 10 kwa 11. na sebule na jiko na choo na ninasehemu ya kukaa nje kusafisha macho. Huo ni mwanzo wangu, Mungu akibariki nitakuwa na hivyo mnavyoviita viwanja baadaye. But angalau nina kwangu.Mita 15 ni kiwanja hicho???!