Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

Jimmy2012

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
28
Reaction score
3
kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara). Bei yake ni milioni 6 na laki 8, maelewano yapo. Bado hakijapimwa. Mwenye kuhitaji kweli tuwasiliane kwa simu/whatsapp namba 0713291455.
 
Bado hakijapimwa, that means hati ya kiwanja hakuna?

huoni hapo kuna uwezekano wa kuwa na 'multiple ownership' ya hicho kiwanja?

Mi nadhani ufuatilie kwanza suala la umilikaji wa kiwanja ili uwe na documents za kubadilishana wakati wa mauzo,

haya mambo huwa yanaleta sana matatizo katika siku za usoni, hamchelewi kuleta ndugu kudai mali yenu.
 
kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara). Bei yake ni milioni 6 na laki 8, maelewano yapo. Bado hakijapimwa. Mwenye kuhitaji kweli tuwasiliane kwa simu/whatsapp namba 0713291455.

Nataka eneo la barabarani kabisa,so kama unalo au una mtu unamfahamu analo nicheki PM
 
Asante kwa ushauri Excel ila ndio maana nimeweka wazi kuwa hakijapimwa ili kuepuka maswali ya ziada kuhusu kupimwa. Kimsingi kuna documents za awali za manunuzi ya kiwanja hiki kutoka serikali za mtaa, na mteja akipatikana mauziano pia yatafanyika serikali za mtaa kwaiyo mnunuzi atakuwa na documents 2 (za mauzo ya awali na mauzo mapya). Suala la kuwa na multiple ownership halipo kwakuwa muuzaji anakimiliki kwa miaka mini sana na hakuna dalali katika mauzo haya, na mauziano yote yatafanyika kihalali serikali ya mtaa husika xfactor, nitaku-PM kuna mtu uwasiliane nae, yeye alikuwa na eneo lake anauza, sijui kama bado analo au la.
 
Last edited by a moderator:
Nataka eneo la barabarani kabisa,so kama unalo au una mtu unamfahamu analo nicheki PM
Habari!
Kuna eneo chanika lipo barabarani ila inauzwa kuanzia heka Mona. Kama bado unahitaji tuwasiliane.
 
Chanika kuna uvamizi mkubwa wa viwanja kwa sasa.Kuweni makini sana katika ununuzi kwani unaweza kuishia jela baada ya kununua kutoka kwa wavamizi pindi mwenye kiwanja atapokuja kukamata wavamizi na wewe ukidhaniwa ni mmoja ya wavamizi.
 
Back
Top Bottom