Bado hakijapimwa, that means hati ya kiwanja hakuna?kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara). Bei yake ni milioni 6 na laki 8, maelewano yapo. Bado hakijapimwa. Mwenye kuhitaji kweli tuwasiliane kwa simu/whatsapp namba 0713291455.
kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara). Bei yake ni milioni 6 na laki 8, maelewano yapo. Bado hakijapimwa. Mwenye kuhitaji kweli tuwasiliane kwa simu/whatsapp namba 0713291455.
Habari!Nataka eneo la barabarani kabisa,so kama unalo au una mtu unamfahamu analo nicheki PM
Habari!
Kuna eneo chanika lipo barabarani ila inauzwa kuanzia heka Mona. Kama bado unahitaji tuwasiliane.