Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Wakuu naomba niwakumbushe tena kuwa hichi kiwanja bado kipo na bei yake imeshuka hadi million 5.
Karibuni sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Jumapili wakuu. Karibuni sana tufanye biashara. Tukumbuke kuwa kiwanja kina ukuta mbili (Muundo wa L, Umeme upo na gari inafika. Pia eneo ni tambarare na umbali kutoka chanika mwisho in dakika 7 hadi 10 kwa miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.

Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.

Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
IMG-20170830-WA0006.jpg
IMG-20170830-WA0005.jpg
IMG-20170830-WA0004.jpg
IMG-20170830-WA0003.jpg
IMG-20170830-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom