Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

Alafu kipo njiani kabisa kwenye barabara za mtaa nikipata nafasi nitaweka ramani ya icho kiwanja kilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Icho ambacho kimezungushiwa peni nyekundu kwa mbele yake ni barabara
20200109_164159.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kiwanja kimepimwa kina hati miliki ya manispaa ya ilala ilo block zima zimepimwa sio vile vya kujipimia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani najua kwa mujibu wa Sheria hati za ardhi Tanzania zinatolewa na wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kwa niaba ya Rais. Sijakulewa unavyosema kuwa hati imetolewa na manispaa ya ilala?.
Nimependa majibu yako...naomba unijibu mkuu.

Dah nimevurugwa tu mkuu hati ni ya wizara ya ardhi bana utaratibu ndo umefanywa na manispaa ya ilala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani najua kwa mujibu wa Sheria hati za ardhi Tanzania zinatolewa na wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kwa niaba ya Rais. Sijakulewa unavyosema kuwa hati imetolewa na manispaa ya ilala?.
Nimependa majibu yako...naomba unijibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchakato mzima wa upimaji ulifanywa na manispaa ya ilala hati zikatolewa na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mkuu samahani kwa kuteleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kiuhalisia sio kila mtanzania anaweza kumiliki kiwanja kikubwa sana kulingana na gharama hivo hii inamsaidia hata mtu ambae anakipato cha kati kuweza kupata ardhi na kujenga nyumba ya ndoto zake kiwanja ni kidogo lakin nyumba standard inakaa apo na parking unapata angalia kwa mfano sinza kuna viwanja vidogo sana pale lakin watu wamejenga vizuri tu na maisha yanaendaelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom