Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Kiwanja Muungano Barabara ya Mwanza/Singida.

ukubwa - Miguu 28 kwa 25
umbali - 2.5 km toka Barabarani
Hakijapimwa ila wamehakiki
Bei-milioni 1.3

Kama uko interested niPM
 
Hujasema kama hilo eneo lina maji na umeme !
 
Miguu ya 'tolu' au 'nyadundo'?Maana hatua zangu na zako hazilingani
 
Ndugu Winch hicho kiwanja bado kipo??kama kipo tuwasiliane kwenye namba 0715 666 251,nahitaji
 
Kiwanja Muungano Barabara ya Mwanza/Singida.

Unamaanisha nn? Kipo eneo gan?
 
Chukua tape pima then njoo useme ni mita ngapi kwa ngpi?
 
Back
Top Bottom