Kiwanja kinauzwa Dodoma

Kiwanja kinauzwa Dodoma

Pesa kuipata imekuwa ngumu sana. Size ya kiwanja? Umeme? Maji? Umbali kutoka mjini? Kina hati au offer?
Kiwanja kina hati maji, umeme, vipo karibu ni wewe tu unavuta ukiamua muda wowote ni kilometer 1.5 kutoka town unaweza kupelekwa kuona ukihitaji kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp kwa number 0755151642
 
Weka maelezo ya kutosha na picha, ukubwa gani, documents gani.. etc
Nimekuelewa kwa uhitaji zaidi wa hicho kiwanja tunaweza kuwasiliana kwa namba 0755151642 kwa mazungumzo ya moja kwa moja au whatsapp.
 
Kiwanja kina hati maji, umeme, vipo karibu ni wewe tu unavuta ukiamua muda wowote ni kilometer 1.5 kutoka town unaweza kupelekwa kuona ukihitaji kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp kwa number 0755151642
Makulu mtaa gani?
 
Back
Top Bottom