Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa/karibu na Madale/karibu na njia nne

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa/karibu na Madale/karibu na njia nne

Joined
Sep 11, 2024
Posts
33
Reaction score
46
Habari za wakati huu...
Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa...
Kiwanja kipo upande wa kulia kutokea Madale mwisho....
Kilomita mbili mpaka madale mwisho...
Kilomita mbili mpaka Goba njia nne....
Kiwanja kipo ndani ya mita 200 kutokea barabara kuu la Lami ya Madale....
Kiwanja kipo eneo zuri sana la kishua...
Kiwanja kina fence na gate kubwa kabisa..
Kiwanja kina Nyumba ya mafanyakazi yenye chumba,jiko,choo na sehemu ya kufulia bado finishing tuu...
Kuna kisima cha maji safi kabisa...
Lakini pia mtaa una maji ya Dawasa...
Eneo lote lina SQM 1,200
Eneo linauzwa Milioni 130 na maongezi yapo kidogo...
☎️ +255 699 255 530
Karibuni sana
 

Attachments

  • E5094445-5653-4C13-B5BD-5AFAB12C8CC3.mov
    38.4 MB
  • IMG_3807.jpeg
    IMG_3807.jpeg
    1.2 MB · Views: 12
  • IMG_3811.jpeg
    IMG_3811.jpeg
    1.3 MB · Views: 15
  • IMG_3806.jpeg
    IMG_3806.jpeg
    1.3 MB · Views: 13
Back
Top Bottom