Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Kiwanja cha ukubwa wa 30/25 kipo maeneo ya goba karibu na shule ya precious,kimezungushiwa ukuta tayari,umeme upo,mashimo ya choo tayari na yameishajengewa.
Price milioni 22 ila maongezi yapo.
Ofa iliyopo maongezi ya kulipa kwa awamu pia yapo.
Nicheck kwa no hizi 0753282776
0652622388.
15 unachukua mkuu?Maongezi yapo ila haitafika hiyo mkuu,unaweza kunicheck kwa hizo no.
Nitachukua mkuu,nicheck kwa no 0654510507 tuongee.15 unachukua mkuu?
Nitachukua mkuu,nicheck kwa no 0654510507 tuongee.
Mkuu, kwanini unawaitia watu whatsapp kuwapa picha za kiwanja? hicho kiwanja ni cha kwako au wewe ni dalali? kwanini hutaki kuweka picha hadharani? hudhani kutotaka kuweka picha hadharani kunaweza watia hofu wanunuaji?Picha zipo labda kama una whatsapp nikutumie .
Kiwanja ni changu,nimeshindwa kuapload huku ila ngoja nijaribu tena mkuuMkuu, kwanini unawaitia watu whatsapp kuwapa picha za kiwanja? hicho kiwanja ni cha kwako au wewe ni dalali? kwanini hutaki kuweka picha hadharani? hudhani kutotaka kuweka picha hadharani kunaweza watia hofu wanunuaji?
Swala la mvua huwa halisumbui pale kabisa,wakati huu wa mvua ni vizuri ukija kushuhudia mwenyewe.Mkuu haya maeneo ikinyesha mvua yanakuagaje??
Mkuu mbona picha kama za kuibia ibia tu. Weka picha zinazoonesha kiwanja clearly kurahisisha watu kufanya maamuzi.
Uwezo wa cm zetu mkuu,pia hilo banda la kanisa hapo katikati lilileta shida,but kiwanja kipo wazi kukiona muda wowote ukajiridhisha.Mkuu mbona picha kama za kuibia ibia tu. Weka picha zinazoonesha kiwanja clearly kurahisisha watu kufanya maamuzi.
Ndiyo, ila weka picha zinazoonesha kiwanja chote pamoja na hilo banda lakeUwezo wa cm zetu mkuu,pia hilo banda la kanisa hapo katikati lilileta shida,but kiwanja kipo wazi kukiona muda wowote ukajiridhisha.
Ngoja nirudi mapema nyumbani nijaribu tena kuchukua picha zingine.Ndiyo, ila weka picha zinazoonesha kiwanja chote pamoja na hilo banda lake