Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
- Thread starter
- #21
Yawezekana ukawa na mashaka ni kweli kabisa,ila kwa mtu ambae ni mnunuzi anahitaji goba pamekua karibu sana siku hizi unaruhusiwa kuja kutembelea,pia swala la bei nimetamka hiyo kwa sababu nimebanwa na issue zangu nizimalize kwa haraka.Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.