Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba

Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Yawezekana ukawa na mashaka ni kweli kabisa,ila kwa mtu ambae ni mnunuzi anahitaji goba pamekua karibu sana siku hizi unaruhusiwa kuja kutembelea,pia swala la bei nimetamka hiyo kwa sababu nimebanwa na issue zangu nizimalize kwa haraka.
 
Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Pia mkuu nikipata any means ya kusolve tatizo langu hutaniona tena huku,najua thamani ya ule uwanja.
 
Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Mkuu mambo yamebadilika sana na bado yatazidi kubarika,trust me hard time is coming.
 
Mkuu mambo yamebadilika sana na bado yatazidi kubarika,trust me hard time is coming.
Usemalo kweli hadi kufika mwakan wakati kama huu pande hizo kiwanja chenye ukubwa huo kinaweza kuwa kimefika 5M
 
Mbona hukuweka picha nyingine au ulishapata mteja
Bado sijapata mteja na cm yangu inasumbua,nakuomba kama una nafasi uje uangalie mwenyewe,kwa mbele unaweza kuweka frem kama nne hivi.
 
Madalali nadhani wako katika mshangao wanahisi nchi imeongezwa ukubwa kwa sababu kasi ya viwanja kuuzwa imekuwa kali kuliko kipindi chochote
 
Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
Mkuu naona umeandika sijui kimasai ing'e ndo nini sasa?
 
Mambo yamekua tight njoo tujadiliane kwa atakaehitaji hicho kiwanja.
 
So m5 ndio mauziano au unatanguliza kwanza hiyo afu utamalizia iliyobaki.
 
Back
Top Bottom