Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,964 Reaction score 3,913 Dec 22, 2021 Thread starter #21 kayanda01 said: Hivi makazi ya kuanzia pale Usagara hadi Buhongwa... ni uswahilini? Nina Tsh 4 million nahitaji kiwanja ndani ya Mwanza. Pasiwe uswahilini (mbanano wa makazi holela). Pafikike kwa gari kutokea lami njia kuu. Cc: Ramon Abbas Cc: Nijosnotes Click to expand... Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu. karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee
kayanda01 said: Hivi makazi ya kuanzia pale Usagara hadi Buhongwa... ni uswahilini? Nina Tsh 4 million nahitaji kiwanja ndani ya Mwanza. Pasiwe uswahilini (mbanano wa makazi holela). Pafikike kwa gari kutokea lami njia kuu. Cc: Ramon Abbas Cc: Nijosnotes Click to expand... Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu. karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Dec 22, 2021 #22 Ramon Abbas said: Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lami Click to expand... Vikoje ?
Ramon Abbas said: Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lami Click to expand... Vikoje ?
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,062 Dec 22, 2021 #23 Ramon Abbas said: Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu. karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee Click to expand... Sawa mkuu. Kwa bajeti yangu TSH 4 Million, kwa hizo sehemu nilizotaja (Usagara hadi Buhongwa) nitapata kiwanja cha ukubwa gani?
Ramon Abbas said: Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu. karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee Click to expand... Sawa mkuu. Kwa bajeti yangu TSH 4 Million, kwa hizo sehemu nilizotaja (Usagara hadi Buhongwa) nitapata kiwanja cha ukubwa gani?
mkalusanga JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 369 Reaction score 446 Dec 25, 2021 #24 Ramon Abbas said: Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lami Click to expand... Mkuu Unauza bei gani kwa Kimoja???
Ramon Abbas said: Nina viwanja viwili viko kisesa stendi ya pili, njia panda ya usagara kando ya lami Click to expand... Mkuu Unauza bei gani kwa Kimoja???