Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

Hivi makazi ya kuanzia pale Usagara hadi Buhongwa... ni uswahilini?

Nina Tsh 4 million nahitaji kiwanja ndani ya Mwanza. Pasiwe uswahilini (mbanano wa makazi holela). Pafikike kwa gari kutokea lami njia kuu.

Cc: Ramon Abbas

Cc: Nijosnotes
Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu.

karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee
 
Hizo sehem umetaja hakuna makazi ya kubana mkuu.

karibu tukutembeze maeneo mengi ujionee

Sawa mkuu. Kwa bajeti yangu TSH 4 Million, kwa hizo sehemu nilizotaja (Usagara hadi Buhongwa) nitapata kiwanja cha ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom