Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Iringa

switi

Senior Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
105
Reaction score
156
Mahali: Iringa mjini, kata ya nduli Hadhi: Hakijapimwa.
Ukubwa: hatua 27*30
Nyaraka: Hati ya mauziano toka ofisi ya kata
Bei: 3.5 milioni
Mawasiliano: 0627089049

Kiwanja kipo katika mtaa wa Mapanda Umbali wa mita 400 toka barabara kuu ya Iringa-Dodoma.


View attachment 1926862
 
Bosi anashida na hela kapunguza bei! Tshs milioni 2.5. Changamkia fursa
 
Muuzaj unajua unachokifanya au unauza uza tu...mil3.5...mkoan halaf bado chaka na bado unapima kwa hatua za miguu..wakat kwa hatua hzo hzo nakupeleka dar sehem inaitwa kivuke unapata kwa mil 2 or less liwanja kama hko..hebu jiongeze bwa mdogo, fanya utafiti
 
Bosi umetumia kigezo gani kupaita nduli chaka? Nduli ndipo kilipo kiwanja cha ndege, ndio njia kuu ya kuelekea makao makuu ya nchi Dodoma. Na ni moja ya sehemu zinazojengeka kwa sasa.
 
Pia maji na umeme vinapatikana eneo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…