Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias

Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias

The Red Pen

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
517
Reaction score
206
Habari wanajamii;
Kuna kiwanja kinauzwa hapa Kibaha kwa Mathias. Bei ni shillingi MILLIONI 17 .Sifa za eneo la kiwanja kilipo:-

1:Umbali kutoka kituo cha daladala Kwa Mathias bara bara ya Morogoro ni Mita 300.

2: Kuna barabara ya gari kutoka barabara kuu hadi kiwanja kilipo na inapitika majira yote ya mwaka.

3:Kiwanja kimezungukwa na miundombinu ya maji na Umeme.

4:Eneo la kiwanja ni tambalale na udongo usiotuamisha maji.

5:Eneo la kiwanja halina mgogoro wowote.

6:Kiwanja hakina hati

7:Eneo la kiwanja ni zaidi ya robo heka.

8😀alali hahusiki na wala hahitajiki kwenye biashara hii.

Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0769 37 11 26.
 
Unamaanisha Milioni kumi na saba au Milioni moja na laki saba?
 
Back
Top Bottom