Habari wanajamii;
Kuna kiwanja kinauzwa hapa Kibaha kwa Mathias. Bei ni shillingi MILLIONI 17 .Sifa za eneo la kiwanja kilipo:-
1:Umbali kutoka kituo cha daladala Kwa Mathias bara bara ya Morogoro ni Mita 300.
2: Kuna barabara ya gari kutoka barabara kuu hadi kiwanja kilipo na inapitika majira yote ya mwaka.
3:Kiwanja kimezungukwa na miundombinu ya maji na Umeme.
4:Eneo la kiwanja ni tambalale na udongo usiotuamisha maji.
5:Eneo la kiwanja halina mgogoro wowote.
6:Kiwanja hakina hati
7:Eneo la kiwanja ni zaidi ya robo heka.
8😀alali hahusiki na wala hahitajiki kwenye biashara hii.
Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0769 37 11 26.