Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

Malizia Tangazo

Kiwanja kimepimwa?
Kina Hati ( Title deed) ? Hapa nazungumzia Hati miliki kutoka wizara ya Ardhi

(55m × 26m) = 1430SQ

Kiwanja cha ukubwa huo na kipo 0.6Km from Morogoro road sio cha kuacha

Note: Me sio mnunuaji nimejaribu kutafakari tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakina hati, kiko pazuri sana Nina shida tu ya haraka. Piga simu Kwa maongezi zaidi na kuja kukiona
Nataka kiwanja kama hiki lakini naona Kibaha hapanivutii kivile. Ngoja waje wengine
 
Back
Top Bottom