Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m
Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni View attachment 2434662 View attachment 2434662