G
guest-1788672427
Guest
T
Hakifai ??Kiwanja sambusa. Kila la heri
Hakuna kiwanja kisichofaa mjomba. Labda kama kipo ndani ya bahari.Hakifai ??
SawaHakuna kiwanja kisichofaa mjomba. Labda kama kipo ndani ya bahari.
SawqAsante
Barabara, umeme na maji vipo? Piga picha eneo tulioneKiwanja kinauzwa kibaha kina sq merter 514 kipo kibaha kwa mfipa hii hapa chini ramani ya kiwanja na picha baadhi za kiwanja
Kinauzwa 5.5M bei iliyonunuliwa
Kiwanja ni kikubwa vile kwenye picha hakiwezi kuonekana,
Naomba nikutumie video ya eneo watsap hapa nashindwa kupakiaBarabara, umeme na maji vipo? Piga picha eneo tulione
Situmii WhatsApp, piga tu picha ya kawaida kisha weka hapa nitaonaNaomba nikutumie video ya eneo watsap hapa nashindwa kupakia
radhiyaKuna yule bibiye wa viwanja vya Tzs million mia + au ni USD na ni mio plus +
SawaKama akiwezi kuonekana futa uzi...
Tuondoleee utopolo wako humu
Hayupo serious huyu...Kama akiwezi kuonekana futa uzi...
Tuondoleee utopolo wako humu
Ndo tukisema mtu ana mavi kichwani tunapigwa ban 😂😂😂🙌🙌🙌Hayupo serious huyu...