Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni bei nafuu sana

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni bei nafuu sana

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari wana jf nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe

Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali
Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na jeshini baada ya kiwanda cha cement cha nyati

Ukubwa wa kiwanja ni SQM 520
Kiwanja kina hati toka ardhi
Umbali toka feri ni KLM 35
Umeme tayari umefika
Kwa mawasiliano 0762987034

IMG_0295.JPG
 
Habari wana fb nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe

Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali
Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na jeshini baada ya kiwanda cha cement cha nyati
Ukubwa wa kiwanja ni SQM 520
Kiwanja kina hati toka ardhi
Umbali toka feri ni KLM 35
Umeme tayari umefika
Kwa mawasiliano 0762987034View attachment 1643596
Kahtan, umesahau kuliedit tangazo lako, sisi ni wana JF sio wale wa kule fb (wana fb)
 
Ko hiyo mkuu ndo bei ya kutupa....🤔
Sawa ngoja wakuje...
 
Kwa vipi mkuu?
Kuna wakati bei za ardhi na majengo zilipaa bila kufuata taratibu. Sasa zimerudi kwenye uhalisia wanaoumia ni wale walionununua wakati ule
 
Nataka nyumba kigamboni ipo? Umbali uwe maximum km 15 kutoka Ferry. Yaani isizidi Km 15 toka ferry
 
Nataka nyumba kigamboni ipo? Umbali uwe maximum km 15 kutoka Ferry. Yaani isizidi Km 15 toka ferry
0782 829 804 cheki na huyu mtu.au huyu mwingine +255 754 047 231.ninwatu wawili tofauti
 
Kuna wakati bei za ardhi na majengo zilipaa bila kufuata taratibu. Sasa zimerudi kwenye uhalisia wanaoumia ni wale walionununua wakati ule
Afu kweli asee, unakutaa kakiwanja 20x20 milioni kumi
 
Back
Top Bottom